GuDume
JF-Expert Member
- Jan 18, 2015
- 6,651
- 14,337
Nmewaza tu baada ya kumwona mwanadada mmoja akisakata kabumbu ile mbaya na kuonesha uwezo mkubwa wa kupigwa mikwaju na kutikisa nyavu.
Nikajiuliza kwa nini kuna ubaguzi katika soka?katika ulimwengu huu wa haki sawa kwa nini mchezaji huyu asichanganyike na wanaume kwenye team flan?je sheria zinasemaje katika hili.kwa nini wasiruhusu tu mchanganyiko?
Nataka nipeke hii hoja FIFA. Waanze kuruhusu jambo hili.