KWA NiNI KAVAA HERENI???

KWA NiNI KAVAA HERENI???

Boflo

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2010
Posts
4,383
Reaction score
4,412
Wadau huyu ni nani?? na inakuwaje mkuu wa jeshi anavaa hereni???

261873_29914_1407915369066_1567893367_31039239_1851708_n.jpg
 
Yawezekana IT itakuwa imechukua mkondo wake - kichwa hicho kitakuwa kimechomekwa hapo.
 
duuuuh.... wana jamvi huyu njemba ni nani??????????
 
hiyo hereni pia ni moja ya cheo huko kwao.
 
Nini mkuu wa jeshi,sweden waziri wa fedha ana bonge la hereni,na kafunga nywele ka baharia na anahutubia bunge km kawa na wabunge wote na mawaziri wanamsikiliza bila noma wala nini.
 
WAZIRI.png
waziri wa fedha na mipango miji wa sweden,puri poa tu acheni ushamba
 
Kuvaa hereni ni tradition tuu huko kwao and its not a big deal, mbona Wamasai wanavaa na hakuna cha ajabu?. Hebu rudi nyuma kwenye tamaduni za Kiafrika kabla ya ujio wa wazungu, jamii nyingine hata kujisetiri ilikuwa issue na hereni walivaa!.
 
Hivi na nyie super star wetu Hashim Thabeet si mnaona tena anavaa mbili kabisa? Amebakiza tu kutoboa pua na midomo hata ile nanihii yake pengine atakuwa amevalisha pete na hereni. Hapa sijasema ni kama boflo msije mkanitupia marungu.

Kwa ufupi kuna vijana wengine ambao huwa wanachukuliwa sana na upepo, kila kitu wanataka kuiga na hivyo hata akifika umri mkubwa tabia zile zinabaki kuwa ni mazoea kwa mantiki hiyo Waziri hata rais anaweza toka katika kundi hilo kama ilivyo kwa waziri wa fedha Sweeden? Kwani Hashim akija kuwa Wazirii wetu wa Habari, Michezo na Utamaduni atavua hizo hereni zake? Tena ndiyo kwanza atanunua za bei mbaya zaidi? Tena ukizingatia ni kijana wa JK sasa si lazima awe katika safu yake? Loooool!
 
Nigeria%2020%20Polymer%20-%206%20Digit.jpg


Hiyo ndiyo 29 Naira yenyewe. Na inapokuja kwenye kuvaa HELENI, hebu waangalia akina Michael Jordan.
 
Kwa waziri kuvaa hereni sawa, lakini kwa mkuu wa jeshi hiyo bado haijatulia! Ndo mana naweza kusema kwa nini bado hatijapata mkuu wa jeshi kutoka Visiwani! Asije naye akawa bwabwa!
 
Nigeria%2020%20Polymer%20-%206%20Digit.jpg


Hiyo ndiyo 29 Naira yenyewe. Na inapokuja kwenye kuvaa HELENI, hebu waangalia akina Michael Jordan.

Asante mkuu. Si ndiyo maana kuna member amesema kabisa picha ya thread ilikuwa photo shoped? Hata ukitizama utaona imechezewa tu. Ila tu kwa miaka hii tutashangaa mengi sana?? Si umesikia tena huko Anglican wameteua askofu mwamke msagaji? Lesbian? Toba Rabi. Hivi kwa nini Anglican Tz wasijitenge? Yaani kanisa linahalalisha Mashoga na Wasagaji katika uongozi wao wakati ni matendo maovu ya kukemewa? Sodoma and Gomora!

 
hizo zama zimepitwa na wakati,eti mtu akivaa hereni aah shoga huyo,nakumbuka miaka ya 90 wakati ndio yanki maza mdogo siku moja kataka kuniua kisa kaona tu nimepiga picha na lemba kama tupac,basi ikawa balaa``we umekuwa shoga unavaa kilemba` ilikua wimbo wake.mi nilikua naona huyu maza wa kizamani kweli
 
We mwanaume unavaa hereni ili iweje?
Dada zetu wajirembe na vijana Wa kiume pia?
 
Back
Top Bottom