kwa nini kaweka hivi hapa mbele

kwa nini kaweka hivi hapa mbele

vkeisy2006

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2010
Posts
229
Reaction score
99
vitimbi4bd6d1987d205.jpg
 
Naipenda ile picha yako ya long yenye MEWATA naomba unitumie.
 
..Teh! tehh!! Teehhhh!!! Huyu lazima atakuwa msukuma tu.
 
Hiyo ngao imesimamishwa tu hapo mbele, sio part ya gari..ni zuga fulani ya kuwazingueni..
Hiyo sio lori bana...ngao kubwa kama carrier ya bedford ya nini!
 
nilipokuwa mdogo kuna jamaa alijifanya mjuaji sana akatupiga fix ati hicho ki-ngao cha Mercedes ni dola elfu 25!
 
Huyu lazima atakuwa msukuma tu
.Sajent...Yaani wewe katika Karne hii bado unamawazo ya kibaguzi tu...Kwako umeona wasukuma ndo Jamii isiyoelimika sio?.Basi km umesoma elimu yako haina faida ktk jamii yetu.pia km umesoma basi bado haujaelimika...Usipende kudharau au kushusha thamani ya Binadamu wenzio....Jaribu kuheshimu watu wote bila kujari Dini,kabila,au Taifa...Kama sisi kwa sisi tu na Baguana na kudharauriana je nani atakaye ona thamani yetu km Wa Tanzania...Yaani mwafirika anambagua mwenzie je Mzungu,au Mhindi atafanyaje sasa!!?.
 
hahaha, hiyo gari ni ya garama mzee, sasa uyo jamaa ni mtani wangu toka kule Same Kilimanjaro, bahili kidogo, anaogopa daladala zitambamba sasahivi, na kitu chake cha thamani kitakuwa mtumba. pamoja na kwamba ameharibu shooo yote ya benz.
 
.Sajent...Yaani wewe katika Karne hii bado unamawazo ya kibaguzi tu...Kwako umeona wasukuma ndo Jamii isiyoelimika sio?.Basi km umesoma elimu yako haina faida ktk jamii yetu.pia km umesoma basi bado haujaelimika...Usipende kudharau au kushusha thamani ya Binadamu wenzio....Jaribu kuheshimu watu wote bila kujari Dini,kabila,au Taifa...Kama sisi kwa sisi tu na Baguana na kudharauriana je nani atakaye ona thamani yetu km Wa Tanzania...Yaani mwafirika anambagua mwenzie je Mzungu,au Mhindi atafanyaje sasa!!?.

pole jamani mbona una jazba hivooooo......
 
Kaweka ngao kubamiza daladala zinazochomekea
 
Aliweka tu hivyo maana alikuwa na mpango wa kumfumania mkewe, kama vip alitaka aingie nayo moja kwa moja mpaka ndani..... Tehe te he!
 
Back
Top Bottom