.Sajent...Yaani wewe katika Karne hii bado unamawazo ya kibaguzi tu...Kwako umeona wasukuma ndo Jamii isiyoelimika sio?.Basi km umesoma elimu yako haina faida ktk jamii yetu.pia km umesoma basi bado haujaelimika...Usipende kudharau au kushusha thamani ya Binadamu wenzio....Jaribu kuheshimu watu wote bila kujari Dini,kabila,au Taifa...Kama sisi kwa sisi tu na Baguana na kudharauriana je nani atakaye ona thamani yetu km Wa Tanzania...Yaani mwafirika anambagua mwenzie je Mzungu,au Mhindi atafanyaje sasa!!?.