mimi43
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 410
- 422
Leo nilikuwa naangalia habari KTN lakini niliona kiswahili kilichonifanya nifikirie.
Kwenye habari yenyewe ni kwamba pale walipotaka kutangaza idadi ya vitu katika @Percentage walikuwa hawasemi..asilimia 5 au asilimia 70 au asilimia 23
wenyewe walikuwa wanasema Asili 5 au Asili 70 au Asili 23
Je ni kiswahili sahihi au ni utaratibu wao