Kwa nini Kifo Cha Ali Ralijani Kimetikisa Mitandao Kuliko hata Cha Ayatollah Ali Khomenei?

Kuna wasaliti wamemuuza huyu 'jamaa'.

Kitendo cha kuwawinda na kuwaua viongozi wa nchi nyingine na kushambulia miundombinu muhimu ya kiraia sio Ugaidi ?...
Na ndiye mwenyewe pia alisimamia mauaji ya raia elfu 40 wakati wa maandamano Iran mwanzoni mwaka huu. Walipo zima Internet tu wakaanza kuwasaka nyumba hadi nyumba Ralijani akiongoza hiyo opereshen ovu.

Kwa hiyo wananchi wengi walikuwa na kisasi naye wakamuuza.
 
Swali.
Ilikuaje Kiongozi Aliyejinadibisha kuipinga America/Israel harafu mtoto wake akawa anaishi na kufanya kazi USA?
View: https://www.instagram.com/p/DWAlA28Ct05/?igsh=ejFsZW1zeGR0NW82
Mbona Osama bin Laden naye alikuwa akiishi Marekani?
Swali.
Ilikuaje Kiongozi Aliyejinadibisha kuipinga America/Israel harafu mtoto wake akawa anaishi na kufanya kazi USA?
View: https://www.instagram.com/p/DWAlA28Ct05/?igsh=ejFsZW1zeGR0NW82
 
Kitu kinachonishangaza ni kuwa hao wairan wanauawa kirahisi sana.....Hawajifichi????????
Wairan wametangaziwa dau nono la kuwachomesha viongozi wao.
Bilioni 26 za TANZANIA hii ndiyo pesa ambayo ukimchoma kiongozi wako unapatiwa...hawa viongozi wote wa Iran wataenda na maji tuuu
 
Wairan wametangaziwa dau nono la kuwachomesha viongozi wao.
Bilioni 26 za TANZANIA hii ndiyo pesa ambayo ukimchoma kiongozi wako unapatiwa...hawa viongozi wote wa Iran wataenda na maji tuuu
Hii ndio kitu inawatesa sana Iran
Nahisi Mojtaba atakua anaishi kama digidigi saa hii maana muda wowote atawahishwa kwa mabikra 72
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…