Kwa nini kisifanyike kama kilichofanywa mwaka 1998

King Kimwe

Senior Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
130
Reaction score
30
Ndugu zangu hili janga la wadogo zetu wa 4m4 ni janga zito kwa kiasi flani ukiangalia kwa jicho la tatu
watu wengi humu jamvin tumekua tukitoa rawama tu na kutafuta mchawi nani huku mda ukiwa unarindima pasipo ya suluhu ya kuwasaidia ndg yetu ambao kuathirika kwao kunapelekea ata ngazi ya familia , jamii na taifa kwa ujumla kupata madhara pia..tumeona sababu nyingi zimetajwa zilizo sababisha haya et ikiwa ni pamoja na wasaishaiji kukosa umakini mtu kafanya masomo mengine kaongezewa na mengine , mwingine hakufanya lkn kawekewa matokeo na sababu nyingine nyingi ebu to take as challanges mana wenzetu wananena there's no action without reaction
Swala limeshatokea, je nn kifanyike kuokoa hawa wadogo zetu...
Mimi nilikua na wazo moja tu mnamo mwaka 1998 mitihani ya 4m4 ilirudiwa kisa ilibainika dhairi kua mitihani ilivuja hivyo wanafunzi wengi wangefaulu pasi na sifa za kufaulu hvy pepa zilifutwa , wel done!.!
Lakini huo ulikua ni mwaka ambao ulidhaniwa wanafunzi wangefaulu je kwa mwaka huu ambao wanafunzi wamefel tena kukiwa na tuhuma mbalimbali na za moja kwa moja kwa wahusika wa Elimu NECTA na WIZARA YA ELIMU kwanini hawa vijana wasipewe nafasi nyingine ya kurudia mtihani ama la mwaka 98 lilikua ni jema zaidi ya la leo??
Tunafurahia watoto kufali kuliko kufaulu...
Ama wasifaulu kwa njia ya udanganyifu lakin pia inanyesha wamefal kwa njia ya udanganyifu pia.. mpaka inapelekea wangine kujiua ,unajua mpk mtu kufikia hatua ya kujiua ni swala zito sana eti sababu ni kufel tu..hapana sababu ni kuonewa KUONEWA( kuchakachuliwa).. na uonevu kwa kweli UNAUMA SANA
Ndg zangu ebu niwape ukweli unapoingia kufanya mtihini ukimaliza unajijua kabisaaa somo ulilofanya UMEFELI ama UMEFAULU yan ulichopanda na kuvuna binafsi pindi nafanya mitihani ya 4m4 nilijua kabisa somo la math na kiswahili nimefel ndivyo fivyo hivyo matokeo yalivyotoka ndivyo yalivyokua hakuna miujiza et umefanya vizur yatoke mabaya umefanya vibaya yatoke mazur
Jaman vijana warudie "PEPA"
Wengi mnaweza kuhoji gharama na muda lakin balaza huwa na mtindo wa kutunga pepa mbili mbili had tatu et ka ikivuja ya kwanza wanatoa ya pili sasa bas kwakua pepa zipo vijana wapewe mwezi mmoja ama miwili kwa maandalizi zen warudi kupiga pepa
iwe ni kwa wenye four chafu na division 0..
Ni hayo tu wakuu tukomalie hii insh mana watoto hawana ata mitahara ya kuelewea na wamefelishwa kabisa sintachelea kuamini hivyo...
Nawasilisha Hoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…