Sitaki kuamini Andrew Chenge ni Mkatoliki wa nguvu kuliko Wakatoliki wengine, labda ungesema Papa au Askofu.Imeandikwa kuwa Petro alipewa Ufunguo kuwa atakacho kifungua duniani atakuwa amekifungua mbinguni. Vile vile atakachokifunga duniani atakuwa amekifunga mbinguni.
Ni kuwa ukiukata duniani na hata mbinguni utaukata. Ukiwa mlalahoi hapa duniani, hata kule mbinguni utakuwa nakadhalika. Yoda ukiwa wa Kulalamika lamamika hapa duniani, hata kwake ni gale gale . Kumbuka vyote hutoka kwa Mungu, mtu anaendesha V8 na wewe unapiyanga kwa mguu ni alama ya yajayo
Si ulisema alipata mgao wa escrow ! Kwanini wewe hukupata? Hivyo ni mteule. Yote hutoka kwa Mungu.Sitaki kuamini Andrew Chenge ni Mkatoliki wa nguvu kuliko Wakatoliki wengine, labda ungesema Papa au Askofu.
We jamaa bhana,Kwa hiyo Sisi walala hoi na mbinguni tutakuwa tiamaji tiamaji hivyohivyo??Imeandikwa kuwa Petro alipewa Ufunguo kuwa atakacho kifungua duniani atakuwa amekifungua mbinguni. Vile vile atakachokifunga duniani atakuwa amekifunga mbinguni.
Ni kuwa ukiukata duniani na hata mbinguni utaukata. Ukiwa mlalahoi hapa duniani, hata kule mbinguni utakuwa nakadhalika. Yoda ukiwa wa Kulalamika lamamika hapa duniani, hata kwake ni gale gale . Kumbuka vyote hutoka kwa Mungu, mtu anaendesha V8 na wewe unapiyanga kwa mguu ni alama ya yajayo. Wateule ni wachache
Hata mimi mlalahoi, nami huko mbinguni ni gale gale ila wewe mwenzangu, huwezi jua maana kesho unaweza fikiwa na zali la mentali ukawa mchepuko wa Mo, ukauaga ulalahoi (you never know with ladies)! Sie wanaume ndivyo hiyo, tunabook kisehemu motoni tu. Kisa ule Ufunguo aloopewa Petro ambaye Siku hizi mwakilishi ni Mmarekani anaitwa Leo wa 14We jamaa bhana,Kwa hiyo Sisi walala hoi na mbinguni tutakuwa tiamaji tiamaji hivyohivyo??
Hivyo ndivyo maandiko yanavyosema??
Chenge ni Msabato mwandamizi. Siyo mkatoliki. Labda alikuwepo kwa sababu sababu Bariadi ni kwao na yeye ni mtu mkubwa hapo BariadiAndrew Chenge