Kwa nini lakini, pamoja na uzuri wote huo

flash back.....apo nakumbuka sana umuhimu wa mwalimu wa mwandiko na english....darasa la pili 'B'
 
Nikichati na mwanamke akaonesha hajui kuandika anachanganya 'l' na 'r' au anaongea sana kiingereza wakati anakosea, namuweka kwenye kundi la kuonewa huruma, huyu hahitaji ub00, huyu anahitaji elimu.
 
HII POST KWANINI HAIJAFUTWA? HUU NI UDHALILISHAJI NA SIO UTANI TENA WAKUU @invinsible
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…