GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,645
- 10,867
πππWajapan wajanja sana wanabadili kidogo tuu lakini mifumo ni ile ile sawa tu na wakati ile
Chaser
Mark lo
Cresta
Rangi nyeusi ni diplomatic color. Even diplomatic attire rangi zake ni either black or navy blue. Ulishaona mabalozi and other diplomatic missions washiriki wamevaa suti nyeupe? Nyekundu? Kijani?Nimeshapata jibu!
Kwa mujibu wa Quora, rangi nyeusi inahusishwa na ufahari usiopitwa na wakati.
πππRangi nyeusi ni diplomatic color. Even diplomatic attire rangi zake ni either black or navy blue. Ulishaona mabalozi and other diplomatic missions washiriki wamevaa suti nyeupe? Nyekundu? Kijani?
Magari ya Ikulu unayaonaje rangi zao? Vipi gari za White House kule Marekani? Suti za watumishi wa White House? Either black or navy blue.