Kama unafuatilia mpira utagundua sasa hivi wabongo wanafuatilia zaidi Ligi ya ndani kuliko EPL.
Zamani epl ilikuwa inafuatiliwa sana, vibanda umiza vilikuwa vinajaa sana kwa mechi za epl hata kwa mechi za kawaida kama Arsenal vs Everton, lakini kwa sasa ni tofauti.