Dumelambegu
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,052
- 257
Jamani,
Mnakubaliana na hoja hiyo na kama ndiyo, sababu yake ni nini??

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu inaelekea unawatamani sana ma hg wako kama sio kuwa du kabisa.
Kunawiri nisababu ya kutoka kwao kwenye hali duni na kuja kwenye unafuu ukizingatia idara ya jikoni wanaishikilia wao.
Natatizwa na unaposema wananawiri kuliko mama wenye nyumba
Wao wanakula milo yote ya home chai chakula mchana uji wa watoto maziwa ya watoto na dinner.wife anakula dinner tuu home muda mwingi anakula vyakula vya barabarani!pia wife ana mawazo,hgirl hana mawazo mazito!vipi mzee amenawiri sana unataka mpa promotion housegirl wako?

nilham hapa panataka ufafanuzi kidogoheheehehehe wanywa uji wa watoto na maziwa ya watoto,,,,,, hilo na mie nakuunga mkono wallah... kweli kabisa.... nahisi ndio sababu...
Kula kulala... hawana chochote wanachowaza cha kuwafanya wachakae
Kazi anazofanya ni mazoezi tosha ya kuufanya mwili upendeze.
Hg anagonga milo yote hadi ya ziada.
Kama yupo sharp anapata muda mzuri wa kupumzika,
huwa hawawazi future hata kidogo. Kula kulala kujicream ndio mwisho wao wa mchezo.
Kama mama hana gubu na baba hana kale katabia ndio toto linazidi kupendeza.
nilham hapa panataka ufafanuzi kidogo