Kwa nini maafisa elimu wengi huonea walimu?

vamda

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
895
Reaction score
571
Ndugu wana JF. Napenda kufahamu kwa nini maafisa elimu wengi waliokabidhiwa ofisi wilayani na kwenye miji hapenda kunyanyasa na kuwaonea walimu. Kwa mfano mwalimu anaweza kumpelekea barua ili aisaini, afisa huyo anaweza kukaa nayo ofisini hata miezi 2 bila ya kuisani tena bila ya sababu za msingi. Kwa nini walimu wamekuwa watu wa kuonewa hapa nchini tena na walimu wenzao (maafisa elimu) wenye ofisi?
 
utaonewa kama hujui haki zako,barua hazitakiwi kuchukua zaidi wiki
 
Ualimu ni taaluma inayodharauliwa sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…