Kwa nini maandamano October 29 yalifeli?

Maandamano yajayo inatakiwa Gen Z kuwa Organized, Wajue wapi watapata Silaha za moto🔥, wajue jinsi ya kuzitumia na wawe na target moja kama ni kwenda ikulu au bungeni.

Tarehe 29 polisi walikua wanafyatua risasi wanatamba mitaani sababu walijua Waandamanaji hawana Silaha, So this time vita ni vitaa muraaa. Tumejipangaaaaa, tutaingia barabarani na Silaha.

hapo ndipo wataanza kusema tunaanzisha makundi ya Ugaidi
 
Mpk una fika kifungu cha 6 ujaandika cha maaana

Rubbish

Summarize kazi yako hatulipw kusoma walaka usio na faida

Simplicity is genius
 
Maandamano yalikuwa masaa sita tu ila Internet ilizimwa siku tano hizi akili za wapi
Sema unalazimishaga sana kwa kujifanya uko kinyume na matukio ili uonekane unaakili
 
Unadhani mafanikio ya maandamano ni sawa na kukoroga chai kwenye Sukari na kukolea muda huo huo?

Mwaka huu wa 2025 umepandisha chart ya mabadiliko ya kisiasa kwa kiwango kikubwa sana. Matukio makuu mawili yamekoleza moto wa mabadiliko ya kiasiasa nchini.

21.01.25 Kuchaguliwa kwa Lissu kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA
29.10.25 Maandamano ya kiuchaguzi.

Hadi leo serikali inahangaika na matokeo ya Siku hizo mbili. Matukio ya Tarehe 29.10.25 yatabadilisha sura ya kisiasa nchini mwetu. Watawala wataanza kuwa waoga. Zile kauli za hawataandana hazitokuwepo. Tukio lile limebadilisha na kukoleza fikra za Militant politics ambazo zilianza kutengenezwa toka 21.01.25.

Leo wana ccm hawavai nguo zao mtaani, pikipiki zao wanaogopa kuzitumia. Leo, utangazwe uchaguzi mdogo unadhani nani ataomba hiyo kazi ya kusimamia kama karani?

So, 29.10.25, ni mbolea kwenye mbegu ya siasa ngumu iliyopandwa 21.01.25.
 
Sisi tunajua kuwa Samia na kikwete na Rostam azizi ndiyo wanaua watanganyika....na mashekh ndiyo mashabiki wa mauaji ya watanganyika wakiwapigania waislamu wenzao wauaji .. Covax FaizaFoxy Jagina Mufti kuku The Infinity Al-mukheef Malaria 2 THE BIG SHOW
 

Attachments

  • Hii ni mortuary ya Mt. Meru Hospital hii ni tarehe 30..mp4
    923.9 KB
  • 6229367-feccae4e97d71682b33dd9973b97cab-4.mp4
    3.2 MB
Hold up brother, ulisema kuwa maandamano hayatafanyika au sio?!!!
 
Unaona unajua kuchambua mambo? Eti ulisema hayatafanikiwa unakuja na tuhoja twako eti hayakufanikiwa. Ubishi tu hata huna haya. Nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…