Kwa nini maandamano ya Mwanza hayana promo?

Desprospero

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
1,015
Reaction score
2,493
Eti wanakambi, mbona maandamano ya Mwanza hayana promo wala msisimko kama ilivyokuwa Dar? Au yamepigwa stop na Amos Makalla? Au sababu za maandamano yamepatiwa ufumbuzi tayari? Au Chadema imeons maandamano bila virungu hayanogi?
 
Mimi niko hapa Mwanza maandamano yanahamasishwa sana jana kuna gari tatu za matangazo zilikuwa hapa Kirumba wakati wa mechi ya Simba na Azam. Tutaandama tu iwe jua iwe mvua karibuni Mwanza.
 
Chadema wakubali kusikiliza ukweli wamekuwa Irrelevant kwa Wananchi
 
Eti wanakambi, mbona maandamano ya Mwanza hayana promo wala msisimko kama ilivyokuwa Dar? Au yamepigwa stop na Amos Makalla? Au sababu za maandamano yamepatiwa ufumbuzi tayari? Au Chadema imeons maandamano bila virungu hayanogi?
Screenshot_2024-02-09-21-30-54-1.png
 
Eti wanakambi, mbona maandamano ya Mwanza hayana promo wala msisimko kama ilivyokuwa Dar? Au yamepigwa stop na Amos Makalla? Au sababu za maandamano yamepatiwa ufumbuzi tayari? Au Chadema imeons maandamano bila virungu hayanogi?
michango yao ya pesa kugharamia maandamano haijawavutia na kuwakosha kamati kuu Taifa 🐒

Maana asali ndio kila kitu kwa kamati kuu 🐒
 
Chadema wakubali kusikiliza ukweli wamekuwa Irrelevant kwa Wananchi
Mama yenu kaja majuzi hapa Mwanza watu wamempuuza wameogopa hata kupeleka mkutano wake Kirumba wakaupeleka Nyamagana na walijazwa wanafunzi na watu waliosombwa kwa malori toka vijijini kwa kupewa posho ya buku5. Huyo ndiye alikuwa irrelevant kwa wananchi.
 
Back
Top Bottom