Desprospero
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 1,015
- 2,493
Nani anakudanganya kuwa hayana promo???Eti wanakambi, mbona maandamano ya Mwanza hayana promo wala msisimko kama ilivyokuwa Dar? Au yamepigwa stop na Amos Makalla? Au sababu za maandamano yamepatiwa ufumbuzi tayari? Au Chadema imeons maandamano bila virungu hayanogi?
Mimi niko hapa Mwanza maandamano yanahamasishwa sana jana kuna gari tatu za matangazo zilikuwa hapa Kirumba wakati wa mechi ya Simba na Azam. Tutaandama tu iwe jua iwe mvua karibuni Mwanza.Eti wanakambi, mbona maandamano ya Mwanza hayana promo wala msisimko kama ilivyokuwa Dar? Au yamepigwa stop na Amos Makalla? Au sababu za maandamano yamepatiwa ufumbuzi tayari? Au Chadema imeons maandamano bila virungu hayanogi?
Eti wanakambi, mbona maandamano ya Mwanza hayana promo wala msisimko kama ilivyokuwa Dar? Au yamepigwa stop na Amos Makalla? Au sababu za maandamano yamepatiwa ufumbuzi tayari? Au Chadema imeons maandamano bila virungu hayanogi?
michango yao ya pesa kugharamia maandamano haijawavutia na kuwakosha kamati kuu Taifa 🐒Eti wanakambi, mbona maandamano ya Mwanza hayana promo wala msisimko kama ilivyokuwa Dar? Au yamepigwa stop na Amos Makalla? Au sababu za maandamano yamepatiwa ufumbuzi tayari? Au Chadema imeons maandamano bila virungu hayanogi?
uongo utakusaidia nini wewe ?michango yao ya pesa kugharamia maandamano haijawavutia na kuwakosha kamati kuu Taifa 🐒
Maana asali ndio kila kitu kwa kamati kuu 🐒
Em nitajie huo ufumbuzi uliopatikana kwa maandamano yaliyopitaAu sababu za maandamano yamepatiwa ufumbuzi tayari?
sasa si ungejikita kwenye kuweka wazi ukweli mbona unababaika 🐒uongo utakusaidia nini wewe ?
Mama yenu kaja majuzi hapa Mwanza watu wamempuuza wameogopa hata kupeleka mkutano wake Kirumba wakaupeleka Nyamagana na walijazwa wanafunzi na watu waliosombwa kwa malori toka vijijini kwa kupewa posho ya buku5. Huyo ndiye alikuwa irrelevant kwa wananchi.Chadema wakubali kusikiliza ukweli wamekuwa Irrelevant kwa Wananchi
angalia post #7sasa si ungejikita kwenye kuweka wazi ukweli mbona unababaika 🐒
Kwi Kwi Kwi , sasa kinachokuliza nini ?Chadema ni mbumbumbu na malaya wa kisiasa
Wanazurura wale wale waliokua dar wanayaita maandamano
kwahiyo ukweli ndio #7 au ndio mwanzo wa kuvurugika huoangalia post #7