Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Nimerudi kazini umeme hamna,
Watoto wanasema mafundi wa TANESCO walikuja kufungua nyaya kwenye nyumba ya jirani (tunashea nguzo) kisha wakaziacha chini kama hivi kwenye picha.
Wakasepa zao , nimepiga simu na kuwatumia TANESCO whatsap wakanipa kumbukumbu namba kisha baada ya dakika mbili wanasema tatizo langu limeshughulikiwa!!
Mpaka sasa tuko giza na hizi waya hapa ni njia yetu ya kupita na watoto wanacheza hapo nje.
##########
Mrejesho:
Majira ya 23:50 tanesco walifika na kurekebisha,
Nadhani baada ya kelele nyingi