Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Warudishe umeme sasa sisi tunakaa giza hadi sasa kwa upuuzi wa kukusanya wayaWATAZIKUSANYA BAADAYE, HUWA WANAFANYA HIVI POTE WANAPOKUWA WANABADILISHA NYAYA/NGUZO
Huku walifanya hivi hivi, lakini umeme ulikuwepo WALIPOMALIZA KAZI. Wanapozitoa wanakuwa busy kurudisha mpya ili umeme uweze kuwaka wanapofunga kazi kwa siku hiyo.Warudishe umeme sasa sisi tunakaa giza hadi sasa kwa upuuzi wa kukusanya waya
Na mbaya zaidi ni nyumba kama 8 tu hivi ndio hatuna umeme,Huku walifanya hivi hivi, lakini umeme ulikuwepo WALIPOMALIZA KAZI. Wanapozitoa wanakuwa busy kurudisha mpya ili umeme uweze kuwaka wanapofunga kazi kwa siku hiyo.
kama wamezma umeme, then that is very bad
Vituko ni vingi sana. Imagine jamaa kafunga kamba ya kuanikia nguo kwenye nguzo ya umeme!Hii nchi ina kila aina ya vituko kwenye mambo ya msingi aiseeee...π€¨
π π π ππVituko ni vingi sana. Imagine jamaa kafunga kamba ya kuanikia nguo kwenye nguzo ya umeme!
It's funny thing to do things twice, wanashindwa kuziondoa muda huohuo wanapoenda au hama kati ya nguzo na nguzo? Au ndo mafuta yapo na muda wanao no godamn pressure π€£WATAZIKUSANYA BAADAYE, HUWA WANAFANYA HIVI POTE WANAPOKUWA WANABADILISHA NYAYA/NGUZO