Kwanza habari za siku nyingi, naona umerudi kwa speed.
Mj1, nakubaliana na wewe kwa kiasi fulani. lakini mmezidi (wewe haumo). Mademu wanaomba mno, mwanaume ukitongoza na ukakubaliwa subiri baada ya siku hasa baada ya kupewa ulichoomba, utasikia simu yangu imeibiwa siwezi tene kuwasiliana na wewe (anaomba simu ya sh.200,000/-), mara mama mgonjwa anahitaji dawa na hela sina (hapo umegeuka buzi), mara gauni yangu ile nzuri inabana sana (anahitaji mwenda shopping). Sasa ingawa unasema midume tumewazoesha hivyo hapana wamezidi na
Achane kuokoteza machangu huko mitaani!
Mmmh topic hii inanikumbusha Mwezi june, 2009. Nilikutana na binti m1 kwenye lift PPF Tower, mrembo wa kutosha!! Ikabidi nimtupie sumu, nikamwomba tukae sanaa pub kwa ajiri ya mazungumzo kidogo!! Baada ya hapo binti akawa wangu lakini mambo hatoi. Kila nikiomba anasema kesho leo siko fresh!! Hapo kila saa saba kasoro ananipigia oohh swty mambo, unaenda wapi lunch!!
Baada ya wiki kama 2 hivi akanipiga mzinga wa TZS. 500,000/-, nikamwambia subiri ntakupa Jmosi, ilipofika jmosi binti akaenda hewani kuulizia pesa aliyoiomba. Nikamwambia aje hoteli fulani (jina kapuni) nimpatie. Saa sita kamili binti huyo, kaulamba sio mchezo. Nikamchukua nikamleta room, huku mezani nimeiweka hiyo laki tano kwenye meza inaonekana!! Story zikaanza huku nikinywa Serengeti na binti akibugia Wine, huku binti anacheka cheka tu na kujifanya anamponda mwanaume wake aliyekuwa naye kabla!!
Akanipa mchezo maridadi sana, tulipomaliza nikammuliza nikakudrop wapi?? Akaniambia niache Mwenge, nikachukua ile pesa na tukaanza kutoka. akauliza mbona simpi ile pesa? nikamwambia kiutani nitakupea kwenye gari sitaki mrembo ubebe mzigo wakati mi nipo. Tulipofika kwenye gari na kuanza kuondoka nikamwambia kwa siku ile nisingeweza kumpa ile pesa, alipojaribu kuuliza kwa nini nikamwambia nilikuwa na shida nyingine. Akakasirika sana na kuomba nimshushe, nikamshusha huku nikimuuliza 'ulikuwa unaniuzia penzi?'
Si unaona/. changudoa umemtafuta mwenyewe halafu unalialia hapa!
hili tatizo ni kwa
wanawake wa tz zaidi..
Wanawake wa kenya sio sana.
Nilikuwa na girlfriend mkenya..
Nikimnunulia zawadi na yeye ataninunulia kwa pesa yake.
Hakuna kubeep wala kuomba vocha.
Wanawake wa kibongo wana mazoea ya kupewa tu.
Sijui ni nini?
inategemea wewe mwenyewe kama una ubavu kumfuata mwanamke mwenye nazo!