Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hujawahi kuona kuna vibaka wanafukua makaburi na kuiba nondo na ile misalaba?usalama wa hilo eneo ni muhimuKwa mtazamo wa fasta.....sababu hakuna anayeweza kutoraka.......hakuna aliyeletwa humo akiwa hai...
Wanaweka uzio kudhibiti wezi wanaoiba misalaba,kufukia makaburi na kuiona mali za marehemu, kuzuia wale watu wanafanya mapenzi makaburini ,kuzuia watu wanafanya mambo ya kishirikina makaburini.Kwa mtazamo wa fasta.....sababu hakuna anayeweza kutoraka.......hakuna aliyeletwa humo akiwa hai...