nzalendo JF-Expert Member Joined May 26, 2009 Posts 12,106 Reaction score 12,916 Aug 6, 2023 #1 Kwa mtazamo wa fasta.....sababu hakuna anayeweza kutoraka.......hakuna aliyeletwa humo akiwa hai...
M mbu wa dengue JF-Expert Member Joined Jun 2, 2014 Posts 8,860 Reaction score 11,554 Aug 6, 2023 #2 nzalendo said: Kwa mtazamo wa fasta.....sababu hakuna anayeweza kutoraka.......hakuna aliyeletwa humo akiwa hai... Click to expand... hujawahi kuona kuna vibaka wanafukua makaburi na kuiba nondo na ile misalaba?usalama wa hilo eneo ni muhimu
nzalendo said: Kwa mtazamo wa fasta.....sababu hakuna anayeweza kutoraka.......hakuna aliyeletwa humo akiwa hai... Click to expand... hujawahi kuona kuna vibaka wanafukua makaburi na kuiba nondo na ile misalaba?usalama wa hilo eneo ni muhimu
Dr hyperkid JF-Expert Member Joined Jun 7, 2019 Posts 12,679 Reaction score 25,646 Aug 6, 2023 #3 uzio ni muhimu kwa usalama watu wanaweza kupatumia vibaya
machiaveli JF-Expert Member Joined Jun 4, 2016 Posts 2,225 Reaction score 5,055 Aug 6, 2023 #4 Kuna wezi wa majeneza,Pete na mikufu ya thamani pia suti kali kali
bongo dili JF-Expert Member Joined Feb 13, 2015 Posts 12,350 Reaction score 25,180 Aug 6, 2023 #5 Kuzuia wezi, makahaba,watupa taka nk
Mvumbo JF-Expert Member Joined Aug 20, 2015 Posts 3,489 Reaction score 12,137 Aug 6, 2023 #6 Ili marehemu wasikimbie adhabu, 'nchale juu ya nchale' humo.
Hance Mtanashati JF-Expert Member Joined Sep 7, 2016 Posts 20,137 Reaction score 26,189 Aug 6, 2023 #7 nzalendo said: Kwa mtazamo wa fasta.....sababu hakuna anayeweza kutoraka.......hakuna aliyeletwa humo akiwa hai... Click to expand... Wanaweka uzio kudhibiti wezi wanaoiba misalaba,kufukia makaburi na kuiona mali za marehemu, kuzuia wale watu wanafanya mapenzi makaburini ,kuzuia watu wanafanya mambo ya kishirikina makaburini.
nzalendo said: Kwa mtazamo wa fasta.....sababu hakuna anayeweza kutoraka.......hakuna aliyeletwa humo akiwa hai... Click to expand... Wanaweka uzio kudhibiti wezi wanaoiba misalaba,kufukia makaburi na kuiona mali za marehemu, kuzuia wale watu wanafanya mapenzi makaburini ,kuzuia watu wanafanya mambo ya kishirikina makaburini.