Kwa nini makeup ???

Kwa nini makeup ???

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,750
Hivi ni kwa nini wawake wanapenda kutumia MAKEUP ? Na ni faida gani wanapata ? Je kuna kasoro zozote zinazowafanya watumie makeup ? Nasikia wakijipaka makeup wakiamka asubuhi uso unakuwa kama bazoka ni kweli ?
 
Wewe nawe,ngoja waje wenyewe wapaka make up maana sio wote
 
kila mtu ana sababu yake,mwingine kufunika madoa au kasoro kwenye ngozi

kuongeza mng'ao wa ngozi ipendeze zaidi etc etc

si kweli kuwa ukipaka makeup ukiamka uso unakuwa ka bazoka labda kama za kuchubua au bleach
 
Hivi ni kwa nini wawake wanapenda kutumia MAKEUP ? Na ni faida gani wanapata ? Je kuna kasoro zozote zinazowafanya watumie makeup ? Nasikia wakijipaka makeup wakiamka asubuhi uso unakuwa kama bazoka ni kweli ?

hata wewe unahitaji make up!
 
Back
Top Bottom