Ndhani management ya IFM inapaswa kulaumiwa kwa ujambazi unaoendelea kufanywa kwa vijana wao wanaokaa sehemu mbalimbali.
Pia inaonyesha walivyo wavivu wa kufikiri hivi unategemea mwanachuo aliyevamiwa na kuibiwa ataelewa masomo vizuri?Concentration inapungua kwa kiasi kikubwa.Fanyeni application ya taaluma zenu acheni kudahili wanafunzi bila kujua mtawaweka wapi?
Serikali inapaswa kuiwajibisha management ya IFM kwanza kabla ya kuwashukia maaskari wetu ambao kwa asilimia kubwa wamekuwa wakishindwa kulinda usalama wa raia na mali zake kikamilifu.