brake up=break upHivi kwanini mahusiano ya vyuoni i.e college/university huaga hayadumu..?
Unakuta mmekutana mumeelewana kabisa na mnaweza mkaishi miaka yote mtakayokua chuo kama wapenzi/wachumba ILA shule ikiisha tuu mkirud majumbani mambo yanaharibika taratibu mpaka mna~brake up.
Shikiria brake mkuu utaanguka ohoo!Kwambaaa Brake up..
Kumekucha kumekuchaaa
Lugha tata sana hiiShikiria brake mkuu utaanguka ohoo!
Sijauliza kwa ubaya mkuu nahitajia tu kujua ulikosomea wala sina maana mbaya .Sawa wewe uliesoma marekani
Huko sijapita kwakweliKwa wale wa vyuo vya kati,wasiokua na boom shida nini
shuleHivi kwanini mahusiano ya vyuoni i.e college/university huaga hayadumu..?
Unakuta mmekutana mumeelewana kabisa na mnaweza mkaishi miaka yote mtakayokua chuo kama wapenzi/wachumba ILA shule ikiisha tuu mkirud majumbani mambo yanaharibika taratibu mpaka mna~brake up.