Hapana sio pdidy bana
nshazeeka sasa natunza familia ..nimesikia mtangazaji mmoja wa clouds fm
arnold kayanda kipindi cha jahazi akisema pamoja na serikali kukaa kimya
kuhusu yale madude yetu mwenzie akauliza yapi yale macameroon uyajui??
Nikasema yalaaaaaaahhh kijana vipi tena,,akuishia hapo akasema nimekuwa
nikzunguka baadhi ya club haya madudu yamezidi kuongezeka kila kukicha kwa kweli
pamoja na cameroon kusema nahisi ameangalia idadi ya haya madude yanavyoongozeka
mmmmh..nikasema ningekuwa bungeni ningemuuliza kijana atupe muelekeo zaidi tuweze
kuelezea serikalini jinsi ya kuwaondoa kabisa haya mauchafu....
Fanaudhubilah min thalika!!
no ni kibwagizo/kipambio @ndyyoko!hilo ni tusi au?
nilishajipiga ban kusikiliza klaus fm na sijui ban yangu itaisha mwaka gani
pdidy,
nadhani siku hizi wanaongezeka kwa sababu kuu mbili
1. Wanaume, rijali, wanaopenda kulawiti wanaume wenzao wameongezeka.
2. Wanaume wenginehuzaliwa na female hormones, even their shape will deveope like a woman.
Swali nililonalo: Je, kwa nini wanaume rijali wafanya hive? Bila waliwitiji, hakutakuwa na soko la ushoga! Na mbaya zaidi, unakuta watoto wadogo wanalawitiwa na watu wa karibu yao, kuna kesi za baba, wajomba, kaka, binamu, jirani, imam, padri, etc, za kulawiti watotowadogo wasioweza kujitetea. Huwawanawachezea hadi ujana wao, je, nikosa la nani huyu kijana alikuwa anapendakufanywa?
Na wale walio jela, men gang rape a fellow man. How is this man affected psychologically?
Alafu utakuta hawa hawa waliwitiji ndio wakwanza kutoa tamko la kupinga na kuwanyanyapaa mashoga.
mnaoendekeza usasa wa kwenda na watoto bar na klabu za pombe, hili nalo ni somo tosha kwenu. Majifunzo ya mambo mabaya kwa watoto huanziia huko pia, maana mtoto lazima atakuuliza 'baba yule nani mbona mwanaume lakini yuko kama mwanamke. Sijui utamjibuje?