Kwa nini matatizo vyuo vikuu tanzania hayatatuliki?

JOMBAAA

Member
Joined
Jun 2, 2011
Posts
25
Reaction score
2
Kwa sababu viongoz wetu si wasema ukwel,hawatekelezi haadi zao kwa wanafunzi.mfano. Udom waliaidiwa watakwenda fied lakini viongozi wamewadanganya. Hatima yake ni kuwarudisha kwa wazazi wao.kwel viongoz wa namna hii wanatufaa watanzania?
 
siyo vyuo vikuu pekee hata matatizo km umeme, umasikini , hayato isha sababu ni uongozi mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…