Msaada please kwa haya matokeo yangu III-15 HIST-S GEO-E na KISW-D ni apply faculty zipi? Na vyuo gani? Na vp? Kuhusu MKOPO?
Hicho nacho ni kitu cha kulalamikia jaman?haters wa udsm utawajua tu.
Nahisi hamjamuelewa muulizaji swali lake regardless of axcesbility issue why ipitie udsm? Mbona hata ifm,sua,dit nao wana servers? Hilo ndio swali la mdau? Au kuna special gani kwenye servers za udsm? Mie nimesoma udsm kwhyo msiniite hater!
haters kwa lipi? Kwenye ajira mbona siku hizi vyuo haviusiki kinachoangaliwa ni jinsi gan unauza your skills ondoa ganda kwenye bongo yako,watu wamesoma vyuo vya kata sasa wako njema vibaya,kuna b.itoz mmoja alipata Education Mliman na akapata BBA Arusha Unvst akachagua kuuza sura mabibo hostel sasa katupwa chaka huko mbamba bay anakula chaki wenzie wapo mjini wanakalia t.ako moja wallet ziko lumbessa mwezi mzima!
Naombeni Ufafanuzi Wadau...
Link ya kwanza ya kuangalia matokeo ya ACSEE 2012 ni hii hapa
http://utawala.udsm.ac.tz/form62012/Alevel.htm
Link ya pili ya kuangalia matokeo ya ACSEE 2012 ni hii hapa
http://www.matokeo.necta.go.tz/matokeo2012/Alevel.htm
Link ya tatu ya kuangalia matokeo ya ACSEE 2012 ni hii hapa
http://admin.udsm.ac.tz/form62012/Alevel.htm
Kwa nini link mbili (Ya kwanza na ya tatu) kati ya tatu zinahusiana na UDSM (University of Dar es salaam)?
Wataalam wa IT naombeni msaada.
Msaada please kwa haya matokeo yangu III-15 HIST-S GEO-E na KISW-D ni apply faculty zipi? Na vyuo gani? Na vp? Kuhusu MKOPO?
Mkuu hata kijijini maisha mazuri yapo ukiamua....mi nipo kijijini nafanya kazi huu ni mwaka wa pili namiliki mkoko mmoja wa biashara na nyumba mbili migombani.....na mjini ctaki kukaa cjui hapo vipi? Maisha ni juhudi yako na cio kukaa mjini au kijijini...funguka weye!haters kwa lipi? Kwenye ajira mbona siku hizi vyuo haviusiki kinachoangaliwa ni jinsi gan unauza your skills ondoa ganda kwenye bongo yako,watu wamesoma vyuo vya kata sasa wako njema vibaya,kuna b.itoz mmoja alipata Education Mliman na akapata BBA Arusha Unvst akachagua kuuza sura mabibo hostel sasa katupwa chaka huko mbamba bay anakula chaki wenzie wapo mjini wanakalia t.ako moja wallet ziko lumbessa mwezi mzima!
Mkuu hata kijijini maisha mazuri yapo ukiamua....mi nipo kijijini nafanya kazi huu ni mwaka wa pili namiliki mkoko mmoja wa biashara na nyumba mbili migombani.....na mjini ctaki kukaa cjui hapo vipi? Maisha ni juhudi yako na cio kukaa mjini au kijijini...funguka weye!
Mkuu senetor najua upo udsm and i lyk ua comment buddy! Ucjal i wil fynd u one day bt f u lyk mtafute ma young bra yupo udsn Baed yupo llps! Pm me folk f u wish!achana na huyo mshamba mkuu!!ye anaona dili kukaa town wkt mifukon hana kitu.