twenty2 JF-Expert Member Joined May 20, 2011 Posts 296 Reaction score 32 Jul 6, 2011 #1 kama ni vitabu sawa,elimu inayotolewa ni ya hapahpa ya mfumo wa tanzania kwann iwe private na sio governmenty?tatizo nini?walimu or wanafunzi?
kama ni vitabu sawa,elimu inayotolewa ni ya hapahpa ya mfumo wa tanzania kwann iwe private na sio governmenty?tatizo nini?walimu or wanafunzi?
ndetichia JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 27,767 Reaction score 6,575 Jul 6, 2011 #2 ni walimu na jingine wazazi kutokutilia mkazo watoto wao kuhusu kusoma..
Kwetu Iringa JF-Expert Member Joined Jul 4, 2011 Posts 355 Reaction score 89 Jul 6, 2011 #3 The answer is obvious: Zina walimu wakutosha na ambao wako well motivated. Pili zina vitabu na vitu vingine vya kutosha. Zina walimu wa kutosha na facilities kwa sababu ada ni kubwa sana
The answer is obvious: Zina walimu wakutosha na ambao wako well motivated. Pili zina vitabu na vitu vingine vya kutosha. Zina walimu wa kutosha na facilities kwa sababu ada ni kubwa sana
N nickodemus Member Joined Jan 19, 2011 Posts 7 Reaction score 0 Jul 6, 2011 #4 Hata za serikali zinaweza kuwa nzuri kuzidi za private, kwa kuwa za Serikali zinachangiwa na kila mtu kwa kodi
Hata za serikali zinaweza kuwa nzuri kuzidi za private, kwa kuwa za Serikali zinachangiwa na kila mtu kwa kodi