Jamani wadau nijibuni. Tukisema ccm ndio chanzo cha dhiki watu wanapinga. Tazama mikoa ya singida, Lindi mtwara na Tabora ambayo ndio ngome ya ccm ni ufukara kwa kwenda mbele. CCM imewasaidia nini? Niambieni jamani kwa nini hawa ndio wako maskini kuliko mikoa mingine?

nathani unafikiria na ****** na sio kichwa Ruvuma pia kuna Waislam wengi? na Rukwa pia? na Mkapa aliyeanza kujenga barabara huko na daraja je ni Muislam?Mikoa ya kusini ilikandamizwa kielimu, kibiashara yote kwa sababu ya CHUKI binafsi ya Nyerere kwa Waislamu. Mikoa ya kusini ina Waislamu wengi kitu kilichomfanya Nyerere kuwabagua. Sasa hivi mikoa ya kusini inaanza kuendelea kwa sababu Dictactor Nyerere hayupo madarakani.
nathani unafikiria na ****** na sio kichwa Ruvuma pia kuna Waislam wengi? na Rukwa pia? na Mkapa aliyeanza kujenga barabara huko na daraja je ni Muislam?
Mikoa ya kusini ilikandamizwa kielimu, kibiashara yote kwa sababu ya CHUKI binafsi ya Nyerere kwa Waislamu. Mikoa ya kusini ina Waislamu wengi kitu kilichomfanya Nyerere kuwabagua. Sasa hivi mikoa ya kusini inaanza kuendelea kwa sababu Dictactor Nyerere hayupo madarakani.
Ndio watanzania wote ni maskini lakini ukiiweka mikoa hiyo ktka maskini-meter ita-diflect zaidi to the right. Get the point.