Kwa nini mnajifanya hamli kiporo cha ugali ila wali mnakula

Kwa nini mnajifanya hamli kiporo cha ugali ila wali mnakula

Unakuta mtu anasema eti halagi viporo ila cha ubwbwa anakula
Ndiyo mambo yetu haya kanda za maziwa makuu tena kiwe ni ugali wa muhogo uliochanganywa na mtama unashushia na maziwa mtindi, samaki wa kubanikwa au kisamvu kilicholala [emoji3]
 
Aliekwambia jeiefu tunakula viporo nani? Hapa wote tunakula breakfast ya soseji moja, chai ya maziwa, mkate slices 2 yenye blueband na peanutbutter na tunashushia sharubati nzuri😅😅
 
Unakuta mtu anasema eti halagi viporo ila cha ubwbwa anakula

Ichi kiporo nimekula sana nikiwa mdogo aise kwa my grand maza Yani asubui kinashwa alafu na chai ya rangi!!! Now days mambo yamebadilika mikate mingi ndo sababu watoto hawali ichi chakula
 
Naimajini vile unaenda msalani na vijiti ili kuunusuru mnaniliu wako
 
Back
Top Bottom