Kwa Airtel unatumia salio la kawaida au mpk utengeneze MasterCard?Mm natumia ya Airtel tu maana ni Airtel Money directly. Pia Mpesa Mastercard kuna baadhi ya sehem inakataliwa sababu zipo registered kma Virtual Cards na sio Debit Card halisi kma Airtel Money Mastercard. Kwa mfano huwezi tumia Mpesa Mastercard kulipia Google Play Developer account lakini ya Airtel unaweza.
Dola pia unanunua zaidi ya 2400. Kifupi ukilipia kwa mpesa hesabu Dola ni 2500 Unapata exactly kiasi cha kulipia.Sikumbuki exact amount ila nahisi kama ilizidi 4%!
Anyways nitacheki next time nione
Ukiachana na Mastercard Voda wanakuruhusu kulipia Playstore kwa kutumia salio la kawaida (hii njia sio nzuri kabisa).
Ila Aritel ndio wanatumia Airtel Money kwenye Google Playstore directly. Ndio nnayo tumia mimi
Kuna Tigopesa pia. Ya Voda ndio ya kijinga sababu inakuataka uweke salio kwenye line na sio Mpesa directly.
View attachment 1825873
Kma ni Playstore hauhitaji Mastercard inachukua funds kutoka Airtel Money na sio salioKwa Airtel unatumia salio la kawaida au mpk utengeneze MasterCard?
Ingia Menu ya Mpesa then Lipa kwa Mpesa then chagua Mpesa Mastercard.Vipi naweza kulipia Netflix kupitia MPesa mastercard?
My VISA card ya bank xxxx ime expire na subscrption ya netflix imeisha, ila sitaki tena kutumia credentials nyeti za bank yangu mama kwenye malipo ya kimtandao( naogopa wajanja wengi)
so nataka niwe na njia mbadala wa kulipia Netflix bila kutumia my main VISA card, msaada tafadhali
Safi!Kma ni Playstore hauhitaji Mastercard inachukua funds kutoka Airtel Money na sio salio
Nimekusoma sasaDola pia unanunua zaidi ya 2400. Kifupi ukilipia kwa mpesa hesabu Dola ni 2500 Unapata exactly kiasi cha kulipia.