Box 2
JF-Expert Member
- Apr 19, 2013
- 506
- 117
habari na poleni kwa uchovu ama matatizo mbalimbali ya kiafya na shukran kwa wote wanaojaribu na wanaoyatatua kwa namna moja ama nyingine.
Ombi langu ama ushauri wangu tunapokua na tatizo na tunapenda kusaidiwa katika jukwaa hili basi tujaribu kuweka kichwa cha habari kinachompelekea mtu kujua tatizo pindi afunguapo mada.Naona mtu unapoandika title yako kwa kutumia maneno kama msaada tafadhari,nisaidieni n.k. wadau wengi mie nkiwa mmojawapo nakua mzito kuufungua uzi huo.Matatizo mengi yanayoletwa hapa hua yanatugusa moja kwa moja ukizingatia sisi waafrika wengi tuna matatizo ya kiafya na wengine ni wagumu kuenda clinic.ahsanteni.