Kwa nini mtu akipoteza/kitu chake kuibwa huweza tafuta sehemu ambayo haitarajiwi. Tatizo ni nini?

Marek18

Member
Joined
Apr 26, 2020
Posts
20
Reaction score
18
Hivi kwanini watu wanapoibiwa au kupoteza kitu huwa wanafanya mambo ya ajabu...

1.Kuna jamaa aliibiwa bicycle sokoni yaan aliitafuta hadi mfukoni duh....

2.huyu yeye alipoteza funguo za gheto,zilikua nyingi tu ila cha ajabu alianza kuzitafuta kwenye maeneo tofauti mara afungue mfuniko wa simu atoe betry . haoni kitu Mara avue viatu na soksi haoni kitu...

Vp na wewe ukipoteza vitu huwa unafanya vitu vya namna hii???
 
Mkuu hiyo inasababishwa na macho kuangaza vitu na maeneo mengi na kutuma ujumbe kwenye ubongo kiasi kwamba unajikuta unachanganyikiwa kwakuwa ubongo unazingatia vitu Vingi kwa wakati mmoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha tyuuh nchekee maan daaah, hataree san

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom