Mkuu hiyo inasababishwa na macho kuangaza vitu na maeneo mengi na kutuma ujumbe kwenye ubongo kiasi kwamba unajikuta unachanganyikiwa kwakuwa ubongo unazingatia vitu Vingi kwa wakati mmojaHivi kwanini watu wanapoibiwa au kupoteza kitu huwa wanafanya mambo ya ajabu...
1.Kuna jamaa aliibiwa bicycle sokoni yaan aliitafuta hadi mfukoni duh....
2.huyu yeye alipoteza funguo za gheto,zilikua nyingi tu ila cha ajabu alianza kuzitafuta kwenye maeneo tofauti mara afungue mfuniko wa simu atoe betry . haoni kitu Mara avue viatu na soksi haoni kitu...
Vp na wewe ukipoteza vitu huwa unafanya vitu vya namna hii???