Kila nikiungalia muungano mwenzenu sipati jibu, kwa mfano Muungano unapingwa sana na Wazanzibar kuliko Watanganyika, lapili ni kuwa Viongozi wanaung'ang'ania sana! Kwa nini muungano uvunjike? Na kwa nini ubakie?
Utavunjika kwa sababu marais na wakuu wa nchi wanatembelea tu bara hawafiki Zanzibar, mfano Bush, Obama na yule rais wa China hawakupangiwa kufika Zanzibar
hakuna usawa ni vyema ukavunjika tu, haiwezekani watu millioni 45 wakalazimisha kuungana na watu milioni moja na nusu,,kama watanganyika wanataka kuungana kweli mbona hawaungani na Ghana ama DRC wanalazimisha Zanzibar tu kuna nini?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.