Kwa nini mwana fa unashindana na jide???

Status
Not open for further replies.
Fa hashindani na JD ila wapenzi wa JD na JD wenyewe ndio mnataka kulazimisha ushindani, toka hii issue ianze mmemsikia Fa aki comment chochote kuhusu JD?
 
Nilikuwa namkubali sana Mwana Fa lakini tangu aanze ku2mika kama toilet paper simkilizi kabisa hz nyimbo zake mpya
 
Mwisho wa siku si tuendelee kipiga kelele kwa kila mtu kutetea upande wake, wakati wenzetu wanazidi kutengeneza pesa na image zao kipitia sisi.
 
Nilikuwa namkubali sana Mwana Fa lakini tangu aanze ku2mika kama toilet paper simkilizi kabisa hz nyimbo zake mpya

Hapa ndio nimetoka kuzisikilizia Ungeniambia, dakika moja, Wanapendana, Aminia baadae Nangoja ageuke na tuliza ball namalizia na binamu.
Kuna sehemu anakwambia "Mi nasema mi nasema tu sio lazima mnielewe, Am so head of time, acha tu nizungumziwe! Don't hate the player hate the game, so don't be mad, kama una bahati mbaya ujue huna bahati kabisa"
 
Umetisha saaana
Waambie wasiojua kama wao ndiyo wanatumika kupiga kelele na Binamu anatengeneza pesa ##SaLuTe kwa Mwana FA
 
Nilikuwa namkubali sana Mwana Fa lakini tangu aanze ku2mika kama toilet paper simkilizi kabisa hz nyimbo zake mpya

jamaa anaweza sana na ni msomi,ila kujiingiza kwenye beef la jide na clouds dah kweli kakosea wale wapo kwenye biashara zao na wamefanikiwa japokuwa clouds wapo juu kumshinda jide,ila jide kaonyesha kujiamini hongera zake kupambana na clouds sio mchezo kweli jide commando....
 
Nimeacha mda mrefu........
I come to realise am much better than that

100

Kweli ume release,aaah aah dah yani u are just such a hopeless girl that u cant even understand things u are writting..u better understand how to spell before realise(according to yourself) that you are better than me...aaah ah poor you..
 
what make you think that you are better than her.huh?
As far as i can see you are someone who like poking his nose where it doesnt belong,did jide told you to come here and deliver msg to FA,?
 
Eti,kwanini fa unagombana na jide,go tell him,IT DOESNT CONCERN US HERE.,
mwa Fa doesnt live here,you wakeup in the morning telling yourself that ,''today am gonna start a thread', AND YOU POST THIS RUBBISH?
 
what make you think that you are better than her.huh?
As far as i can see you are someone who like poking his nose where it doesnt belong,did jide told you to come here and deliver msg to FA,?

marekebisho,ni what makes na sio what make,kama hujui tumia lugha za watu basi waachie wenyewe usiwaaribie
 
am asking you P.U.NK did your mama ask you to deliver msg to Fa?even if so why didnt you deliver it personaly to fa.WHAT DOES IT CONCERN US HERE.
I thought you got brain kumbe your head is full of sh*t.

If its non of your concern leave it here with me,i did not ask you to comment on the thread,got mee????....
 
Eti,kwanini fa unagombana na jide,go tell him,IT DOESNT CONCERN US HERE.,
mwa Fa doesnt live here,you wakeup in the morning telling yourself that ,''today am gonna start a thread', AND YOU POST THIS RUBBISH?
 
Self proclaiming important nutjob,who think he got right to put his nose up anyone backside...hah..!!
Gerraout your nose outta jide backside,it is smelly ,you gonna suffocate and you will have no one to blame but yourself.

STOP INSULTING PEOPLE,and when they hit back you go running to start another thread telling people how good guy you are..you start a fight and then you run away shopping for sympath....kha..
 
If its non of your concern leave it here with me,i did not ask you to comment on the thread,got mee????....

hahaha...IT IS NONE OF MY BUSINESS?then why did you post it here?eeh?
Once you post it here anyone can post opinion,
i just camein when i saw you insulting that heaven on earth gal,i asked you nicely why you keep insulting the gal,hahaha,you called me names.DID YOU EXPECT ME TO KEEP MA MOUTH SHUT,eeh?.
It is my business,when someone insult me it become my business,get that inside your head.
 
Mwana FA ni choko ameshikiwa akili na majambazi ya mziki
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…