Kwa nini mwanaume asiitwe" KICHECHE" akaitwa mwanamke?

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Watu wengi hupenda kuwaita wanawake ambao wana wapenzi wengi kuwa ni Vicheche kwa maana kuwa wanapenda ngono sana

Hebu angalia tabia za huyu mnyama kicheche na tabia za mwanaume,kwa wale wasiomfahamu ni mnyama anayependa kula kuku sana

1,Ni mnyama mdogo sana ambaye hawezi kuishi bila kufanya mapenzi kuliko wanyama wengine

2,Ni mnyama ambaye anafanya mapenzi mara 26 kwa siku sawa na kukimbia km 326 tofauti na wanyama wengine

3,Ni mnyama anayewaza muda mwingi kufanya ngono kuliko mnyama yoyote yule,madume hutumia muda mwingi kuwinda majike ili yafanye mapenzi

Tabia za wanaume kwa nini wasiwe Vicheche?

1,mwanaume hawezi akamaliza wiki moja bila kufanya mapenzi na ikitokea mpenzi au mke wake anaumwa au kajifungua lazima atachepuka tu,kwa nini asiitwe kicheche

2,Mwanaume ili ardhike kufanya mapenzi na ili aonekane yeye ni kidume wengine ni mashahidi humu husema ataka aende round 7 mpaka 9 ,hivi hayo ni mapenzi au vita,kwani huyo mwanamke anakufa siku hiyo kuwa hutampata tena? Kwa nini wanaume wasiitwe Vicheche

3,Mwanaume akiwa na mpenzi ukapita siku mbili tatu hamjakutana,utasikia akikwambia nimemis sio kuwa amekumis,amemis,mwanaume akiona bar maid mpya ameingia baani anawaza namna ya kumpata,mwanaume hataki sketi impite mbele yake,kama mmepishana hajakuona lazima afanye kituko fulani ili ugeuke,ili akili ya mwanaume ifanye kazi lazima afanye mapenzi,kwa nini hawa wanaume wasiitwe Vicheche?

Ni marufuku kumuita mwanamke kicheche kumbe wanaume ndo wanatabia kama za kicheche
 
Weww unamuitaje?
Haya nakusikiliza mdogoangu
 
Kwanza inabidi ujue sifa za kicheche.
 
kwanza hata haivutii wala hainogi mwanaume kuitwa kicheche
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…