Kwa nini Mwigizaji na Producer maarufu wa Bongo Movie Jacob Steven anaitwa JB na sio JS?

Kwa nini Mwigizaji na Producer maarufu wa Bongo Movie Jacob Steven anaitwa JB na sio JS?

SHIEKA

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
8,240
Reaction score
4,265
Habari zenu wadau wa celebrity forum ya JF. Naomba nifahamishwe kwa nini Jacob Steven anajulikana kama JB badala ya JS? Nimegoogle sana sijapata jibu.
 
Duh, labda kwa sababu alikuwa mnene wakaamua kumpa hilo jina JB- Jacob big, ila na wewe swali lako halijatulia, ngoja wenyewe waje
 
Nafikiri ni jina lake la kisanii lililozoeleka na sio kifupisho cha majina yake na inawezeka ali-opt JB kwa sababu mbalimbali i'm not sure lkn nimejaribu kuwaza tu....tusubiri.
 
JB- Jacob Bonge.....otherwise, kamuulize mwenyewe..
 
Duh, labda kwa sababu alikuwa mnene wakaamua kumpa hilo jina JB- Jacob big, ila na wewe swali lako halijatulia, ngoja wenyewe waje
Asante ila mimi sioni swali langu likirukaruka. Swali langu halijatulia maana yake nini dugu?
 
Ukijuwa inakusaidia nini?
Binadamu kaumbwa na hulka ya kutaka kufahamu vitu.Inasaidia kukidhi hamu ya kufahamu. Kama hujui jibu la swali langu ungenyamaza tu, hutaumwa na tumbo la kuharisha.
 
Asante ila mimi sioni swali langu likirukaruka. Swali langu halijatulia maana yake nini dugu?

Ni kawaida sana kwa wasanii wetu kutumia fake names kwa ajili ya kazi zao za sanaa, mfano kingwendu,bambo,ney wa mitego,mavoko na mengine mengi tu, so sijaona cha ajabu sana kwa jina la jb ,mi nadhani ni kawaida sana mkuu
 
Sawa ndugu yangu lakini kwenye swali langu sikudokeza kwamba kuna uajabu kwenye jina jb. Mimi nilitaka tu kujua kwa nini hiyo herufi ya pili- b imetumika badala ya s.Ila kwa sasa majibu mengi niliyoyapata yamenifungua akili.Nawashukuru!
 
JB- Jacob Bonge.....otherwise, kamuulize mwenyewe..
serio wacha utani. Mimi naishi bush ya madongo meusi ya Tanganyika na JB yuko Dar ntamwulizaje? Anyway, umejaribu kutoa jibu la kuridhisha.
 
Last edited by a moderator:
Duh, labda kwa sababu alikuwa mnene wakaamua kumpa hilo jina JB- Jacob big, ila na wewe swali lako halijatulia, ngoja wenyewe waje
Asante warumi, kuna mantiki hapo
 
Last edited by a moderator:
Hio Steven ni middle name au surname?

Pengine hio B ni initial ya either middle name au surname.
 
Unajua tofauti ya JB na J.B? Tuanzie hapo kwanza usisumbue watu
 
bongo bwana.. utakuta jamaa ni muigizaji, cameraman, producer and co-producer, script writer, sound man, director, etc. vyote yeye
 
Kwanini movie actors wa kitanzania wana "majina ya kisanii"?

Mi sijawah kuskia jina la kisanii la Brad Pitt au Johnny Deep
 
Zaman kwenye gazeti la bongo kama sikosei kulikuwa na hadithi moja ya kiharamia(nimeisahau jina) lkn mchoraj alikuwa ni 4T Ndilla kulikuwa na character anaitwa Jacob bonge nae kimuonekano alikuwa ni bonge la mtu so yawezekana from there ndo akawa inspired hadi akaamua ajiite JB coz of huo mwili na first name Jacob (ni mtazamo wangu tu huo)
 
Back
Top Bottom