Kwa nini naomba KATIBA MPYA isipatikane 2014?

Kwa nini naomba KATIBA MPYA isipatikane 2014?

NYAMKANG'ILI

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2012
Posts
223
Reaction score
112
1) Bado hakuna MWAfaka wa kitaifa kuhusu mambo muhimu kama MUUNGANO, madaraka ya RAIS nk na iwapo KATIBA itakuja itasababisha mgawanyiko zaidi katika jamii na kuleta utengano --- muda zaidi unaHITAJIKA kujenga mwafaka kwa masuala muhimu ya kitaifa

2) HAKUNA majadiliano ya maana yaliyofanyika kuhusu matatizo ya waTZ ambayo sasa katiba inakuja kuyatatua --- kwa mfano uonevu ktk jamii, ardhi, haki, majukumu ya vyombo vya dola ktk mfumo wa vyama vingi, haki za walemavu na makundi mengine maalumu, mambo ya kuteuanateuana, muundo wa serikali nk
 
Back
Top Bottom