#COVID19 Kwa nini nchi nyingi zilizopata chanjo zina idadi kubwa ya maambukizi ya COVID19?

Teleskopu

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2017
Posts
702
Reaction score
767
Nchi zilizochanja sana ndizo zenye maambukizi sana!!! Mmmhhh!!🤔🤔🤔🤔

Mwandishi wa makala haya katika geopolitic dot org anauliza maswali ya msingi sana:

Anasema:
"Ask yourself. What is the cause of this trend among the vaccinated? The SARS-2 Delta Variant or the Killer Vaccine?"
Na ukisoma makala unaona kuwa wanapiga marufuku kufanyia maiti autopsy. Kwa nini? Mnaficha nini? Mna mipango gani?

......
Ni mambo ya kujiuliza na kuchunguza badala ya kukimbilia kusema "mbona tulishachanjwa?" Kwani kuuliza jambo ni dhambi?

Source: Most Vaccinated Countries Have Most COVID Cases - geopolitic
 
Unalinganisha na Tanzania ambayo Corona haijawahi kuwapo?
 
Reactions: BAK
Sasa watu wamekabidhi mabega watumbukizwe protin za covid unategemea nini?

Hata hapa kwetu muda mchache baada ya kuchanja watu kama laki moja na 60 Rate ya covid ilipanda sana lakin baada ya kupuuzwa rate imepungua tena
 
Vipi kuhusu katika nchi hizo wale wabishi waliokataa kupata chanjo na kuvaa barakoa mbona hujawazungumzia?
 
Acha uongo wewe! Waliochanja wanaopata Covid ni 3% tu ukilinganisha na 97% ya wasiochanja na wanaokufa waliochanja ni 1% ukilinganisha na 99% ya wasiochanja.
Sasa watu wamekabidhi mabega watumbukizwe protin za covid unategemea nini?

Hata hapa kwetu muda mchache baada ya kuchanja watu kama laki moja na 60 Rate ya covid ilipanda sana lakin baada ya kupuuzwa rate imepungua tena
 
mimi sio mtaalamu wa afya lakini katika literature nilizoziona mtandaoni ni kua Hizi chanjo zinauelekeza mwili kupigana na specific spike protein ya Sars-Cov2, once a new variant arises ,they become obsolete...
 
Source please?
Acha uongo wewe! Waliochanja wanaopata Covid ni 3% tu ukilinganisha na 97% ya wasiochanja na wanaokufa waliochanja ni 1% ukilinganisha na 99% ya wasiochanja.
 
Acha uongo wewe! Waliochanja wanaopata Covid ni 3% tu ukilinganisha na 97% ya wasiochanja na wanaokufa waliochanja ni 1% ukilinganisha na 99% ya wasiochanja.
Ndugu hizi percenge zako zipo sawa kweli?
Kwamba wanaokufa wakiwa na chanjo ni 1% na wasio na chanjo ni 99%...kwamba katika watu mia ambao hawajachanjwa wakipata corona ni mmoja tu atapona, 99 wata rest in peace...[emoji848][emoji848]
Unaweza weka source ya hizi takwimu?
 
Uwe unasoma kwa kituo mbona source nimeweka humu? Nenda kachanje acha kusikiliza uzushi wa vijiweni.
 
Most vaccinated countries have most covid cases because they release genuine statistics.
Hapa Bongo nina mgonjwa wangu yuko ICU toka alhamisi lkn maDR wanaogopa kusema ana covid. Kisingizio chao results zinatoka Dsm, kaanzishiwa dose za covid na oxygen nyingi tuu. Ukiuliza majibu ya covid wanakuambia wewe unataka majibu ya covid ili iweje, wanakuambia unachotaka ni results au mgonjwa wako apone, inabidi unyong'onyee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…