Sisi kipimo chetu EPL tu watu wamechanja wanajaza viwanja hakuna barakoa hiyo dalili njema maisha yamerudi,Acha uongo wewe! Waliochanja wanaopata Covid ni 3% tu ukilinganisha na 97% ya wasiochanja na wanaokufa waliochanja ni 1% ukilinganisha na 99% ya wasiochanja.
Nchi ya watu million 50 wanapimwa sehemu moja tu jambo la kushangaza sana ila sisi hatuumwi sana lakini sio kwamba hatuna corona na uhakika kama tutapiga foleni kupima tunaweza kujikuta 70% positive ila kwa kuwa kuwa na corona sio kuumwa unaweza kuwa na Covid mpaka inaishia bila kusikia dalili yoyote na hao ndio wengi sana wachache inawapiga kidogo na wako inawatesa sana.Most vaccinated countries have most covid cases because they release genuine statistics.
Hapa Bongo nina mgonjwa wangu yuko ICU toka alhamisi lkn maDR wanaogopa kusema ana covid. Kisingizio chao results zinatoka Dsm, kaanzishiwa dose za covid na oxygen nyingi tuu. Ukiuliza majibu ya covid wanakuambia wewe unataka majibu ya covid ili iweje, wanakuambia unachotaka ni results au mgonjwa wako apone, inabidi unyong'onyee
ata mimi nimezishangaa sana hesabu zake...Ndugu hizi percenge zako zipo sawa kweli?
Kwamba wanaokufa wakiwa na chanjo ni 1% na wasio na chanjo ni 99%...kwamba katika watu mia ambao hawajachanjwa wakipata corona ni mmoja tu atapona, 99 wata rest in peace...[emoji848][emoji848]
Unaweza weka source ya hizi takwimu?
Wako sawa, mnaotaka hizo takwimu huwa mnazihitaji ili iweje?Most vaccinated countries have most covid cases because they release genuine statistics.
Hapa Bongo nina mgonjwa wangu yuko ICU toka alhamisi lkn maDR wanaogopa kusema ana covid. Kisingizio chao results zinatoka Dsm, kaanzishiwa dose za covid na oxygen nyingi tuu. Ukiuliza majibu ya covid wanakuambia wewe unataka majibu ya covid ili iweje, wanakuambia unachotaka ni results au mgonjwa wako apone, inabidi unyong'onyee
Hizo ndizo zilizoathiriwa zaidi,sema lingine.Nchi zilizochanja sana ndizo zenye maambukizi sana!!! Mmmhhh!!🤔🤔🤔🤔
Mwandishi wa makala haya katika geopolitic dot org anauliza maswali ya msingi sana:
Anasema:
"Ask yourself. What is the cause of this trend among the vaccinated? The SARS-2 Delta Variant or the Killer Vaccine?"
Na ukisoma makala unaona kuwa wanapiga marufuku kufanyia maiti autopsy. Kwa nini? Mnaficha nini? Mna mipango gani?
......
Ni mambo ya kujiuliza na kuchunguza badala ya kukimbilia kusema "mbona tulishachanjwa?" Kwani kuuliza jambo ni dhambi?
Source: Most Vaccinated Countries Have Most COVID Cases - geopolitic
Na wewe unakaa unaulizia majibu ya covid, kana kwamba watamani uambiwe ana covid , ili uisifu covid jinsi inavyoshughulikia wanadamu siyo?Most vaccinated countries have most covid cases because they release genuine statistics.
Hapa Bongo nina mgonjwa wangu yuko ICU toka alhamisi lkn maDR wanaogopa kusema ana covid. Kisingizio chao results zinatoka Dsm, kaanzishiwa dose za covid na oxygen nyingi tuu. Ukiuliza majibu ya covid wanakuambia wewe unataka majibu ya covid ili iweje, wanakuambia unachotaka ni results au mgonjwa wako apone, inabidi unyong'onyee
Sisi wengine kipimo chetu 'kwa mkapa'.. Watu wanajaa uwanjani, hawana barakoa, hawajachanjwa, na hawafi kwa covid,... Tumeyashuhudia haya na tunaendelea kuyashuhudia..Sisi kipimo chetu EPL tu watu wamechanja wanajaza viwanja hakuna barakoa hiyo dalili njema maisha yamerudi,
Tulimzika Magufuli tukiwa makundi kwa makundi.Hizo ndizo zilizoathiriwa zaidi,sema lingine.
Usiishi kwa kukariri,akili zakuambiwa changanyamo na zako,pia mazingira yako sii ya wengine.pia unazotakwimu za kwenu,au unatujia na porojo za akina gwajiboy.Tulimzika Magufuli tukiwa makundi kwa makundi.
Tunashonana kwenye usafiri na viwanja vya michezo kila siku;
Kwa nini hatukushuhudia maambukizi yakipanda wakati tunaambiwa kila siku
kuhusu social distancing?
Tuliambiwa barabara za Afrika zitakuwa zimejaa maiti za waliokufa kwa korona.
Wako wapi maiti hao zaidi ya mwaka sasa?
la hasha.Na wewe unakaa unaulizia majibu ya covid, kana kwamba watamani uambiwe ana covid , ili uisifu covid jinsi inavyoshughulikia wanadamu siyo?
Ufafanuzi kidogo hapa mtaalamu, sijaelewaukilinganisha na 97% ya wasiochanja na wanaokufa waliochanja ni 1% ukilinganisha na 99% ya wasiochanja.
Hizi takwimu kuwa wasio chanja kati ya 100% wanaokufa ni 99% umezitoa wap mkuu?Acha uongo wewe! Waliochanja wanaopata Covid ni 3% tu ukilinganisha na 97% ya wasiochanja na wanaokufa waliochanja ni 1% ukilinganisha na 99% ya wasiochanja.
Hizi takwimu kuwa wasio chanja kati ya 100% wanaokufa ni 99% umezitoa wap mkuu?
Kabla ya kugundilika chanjo waliokuwa ni asilimia ngapi kati ya wale waliokuwa wanaumwa?CDC sikurupuki kuweka kitu hapa bila ya kuwa ná uhakika nacho.