Kwa nini neno la kisukuma 'Nyanda' linatumika kwa Golikipa?

Kwa nini neno la kisukuma 'Nyanda' linatumika kwa Golikipa?

Nyanda ni jina la golikipa wa zamani wa Pamba United kabla ya Rwemaho Mkami; alikuwa golikipa mzuri sana asiyefungika kirahisi ila sijui aliishia wapi.
Sahihi kabisa
 
Kiswahili
Nyanda ni kipimo : masafa baina ya kidole gumba cha mkono na kidole cha shahada.
 
Nyanda ni jina la golikipa wa zamani wa Pamba United kabla ya Rwemaho Mkami; alikuwa golikipa mzuri sana asiyefungika kirahisi ila sijui aliishia wapi.
Natamani nipate stori zake zaidi ni miaka ipi na nini haswa zilikua sifa zake mpaka jina lake litumike mpaka leo kwa sisi watu wa soka. Jazia kidogo vinyama tupate madini
 
Back
Top Bottom