Kwa nini neno MBWA litumike?

KAUMZA

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2010
Posts
699
Reaction score
237
UKITAKA KUNYWA SUPU YA MBWA, SHARTI IWE YA MOTO!!! Nimekuwa nikijiuliza sana kuhusu msemo huu. Maana ya msemo huu hainitatizi sana, kinachonitatiza ni kuwa kwa nini wahenga waliamua kutumia neno MBWA na si mnyama mwingine, ilhali wakijua kuwa katika jamii nyingi za kitanzania MBWA si chakula cha binadamu labda kwa ndugu zangu wahehe.
 
Ingekua vizuri zaidi kama research yako ungeiusisha jamii husika, maadam ushaitaja mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…