Kwa nini neno "shukrani" hutumika ktk kumbukizi za marehemu?

Akili Kichwani

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2010
Posts
1,508
Reaction score
220
wapendwa leo Geof amewashukuru wanaJF wote kwa ushirikianao waliotoa kufanikisha arusi (wataalam wanasema sio HARUSI) yake . kichwa cha habari cha thread yake ameanza "SHUKRANI.........." Sasa mie nilipoona nikakumbuka neno hili hutumiwa sana na watu wafanyaPo kumbukizi za marehemu au HITMA hasazile zinazotangazwa kwnye magazeti.

mfano unakuta wanaandika :

SHUKRANI
leo ni miaka miwili tangu tulipoondokewa na mpendwa wetu..............................

sasa tusaidiane:
nini chanzo cha neno hili (SHUKRANI) kutumika kuwafanyia marehenmu hitma au (kumbukizi) zaidi kuliko matuKio mengune?????????
 

Sina uhakika kama umeeleweka, jaribu kufafanua swali lako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…