Kwa nini ni kwa wanawake/wasichana tu?

twenty2

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
296
Reaction score
32
watu wengi huwa wanapenda kusema na kuona kwamba ni wsichana/wanawake pekee ndio wenye wapenzi zaidi ya mmoja,na sio kufikilia na wavulana pia wanao wapenzi zaidi ya mmoja.ni kwa nini kwa wasichana/wanawake tu?wavulana je?
 
mimi sina hata mmoja wewe je?
 
watu wengi huwa wanapenda kusema na kuona kwamba ni wsichana/wanawake pekee ndio wenye wapenzi zaidi ya mmoja,na sio kufikilia na wavulana pia wanao wapenzi zaidi ya mmoja.ni kwa nini kwa wasichana/wanawake tu?wavulana je?

Kwa sababu nyie wenyewe mnasema...........
 
watu wengi huwa wanapenda kusema na kuona kwamba ni wsichana/wanawake pekee ndio wenye wapenzi zaidi ya mmoja,na sio kufikilia na wavulana pia wanao wapenzi zaidi ya mmoja.ni kwa nini kwa wasichana/wanawake tu?wavulana je?
<br />
<br />
maumbile yao hayasupport kuwa na more than 1 man
 
Kwa sababu ya matendo yenu ya kutokutulia!!!!!!
 
Kuwa mnao mabwana zaidi ya mmoja, kuna wa usafiri, kuna wa Vocha, kuna wa kodi ya Pango..... yaani inategemea na mahitaji yenu... uongo?

hahahaaa, kweli nkuki kwa nchungu kwa binadamu ngu....no (kitimoto). Eti wao kuita a.k.a nyumba ndogo hawaoni tabu, dreva taxi, mh...!!!!
 
Mimi nikiwajaza kwenye fuso hawatoshi, nina mademu mingi sana.
 
watu wengi huwa wanapenda kusema na kuona kwamba ni wsichana/wanawake pekee ndio wenye wapenzi zaidi ya mmoja,na sio kufikilia na wavulana pia wanao wapenzi zaidi ya mmoja.ni kwa nini kwa wasichana/wanawake tu?wavulana je?

kuna mtu alishasema kwamba~ "kufuli moja likifunguliwa na funguo nyingi basi hilo halifai ni kimeo, ila funguo mmoja ukifungua kufuli nyingi basi huo unaitwa master key" nadhani hii itakupa jibu sahihi..
 
kuna mtu alishasema kwamba~ &quot;kufuli moja likifunguliwa na funguo nyingi basi hilo halifai ni kimeo, ila funguo mmoja ukifungua kufuli nyingi basi huo unaitwa master key&quot; nadhani hii itakupa jibu sahihi..

hahaha imenifurahisha hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…