Nyuma mwiko ni timu inayowekeza sana kwenye propaganda.Propaganda hii imekuwa kubwa kiasi kwamba inaweza kuambatana na mipango ya nje ya uwanja kuathiri matokeo ya mechi ndani ya uwanja.
Mfano sasa hivi wana kampeni ya kuhakikisha Dube anakuwa mfungaji bora hata kama ni kwa kutumia ushawishi dhidi ya timu pinzani ili mradi tu ionekane wao ni washindi dhidi ya Azam aliyemnunua Fei Toto.
Wanafanya hivi ili kuwatisha wachezaji wao wazuri wasi jaribu kufikiri kuiacha timu yao kirahisi.
Walijaribu kuhakikisha wanamuua Fei Toto kwa namna yoyote ile lakini walishindwa.Fei Toto bado ni wa moto.
Hawa nyuma mwiko wanafanya uchawi sana wa siri na wa wazi.Wanao uwezo wa kuua kipaji cha mtu wakiamua kufanya hivyo na hasa mchezaji wanayetaka kumuua akiwa timu pinzani.
Kwa sasa wanatamani kipaji cha Chasambi kife ama akubali kucheza kwao.
Ninachokiona ni huyu kijana kusajiliwa na nyuma mwiko kwa bei ndogo kwa sababu wamefanikiwa kumtengenezea pressure ili asicheze vizuri akiwa Simba.Hii pressure Chasambi hataishinda labda awafunge wao nyuma mwiko zaidi hata ya mara moja.
Vinginevyo kama ilivyokuwa kwa Chama,alitengenezewa pressure kwa kusemwa kwamba ni mzee na wao hao hao yanga wakimwita kiungo kono kono,huku kwa mlango wa nyuma rais wao akimtafuta kwa siri na kumpongeza hasa anapocheza chini ya kiwango kwenye mechi muhimu za ligi,walifanikiwa kumwaminisha eti Simba hakuna wachezaji wa kumsaidia kufikia malengo yake.
Naamini na huyu kijana huenda walishamlisha sumu kama aliyopewa chama ya kuaminishwa kuwa huko Simba hakuna wachezaji wanaoweza kumfanya afikie ndoto zake.
Hicho wanachofanya yanga ni aina ya uchawi wa juu sana wa kisasa na wanao wale wazee wanafanya uchawi mweusi na hutawasikia wakisema kitu.
Ukisikia nyuma mwiko wanasema mashabiki wa simba ni mbumbumbu ni kwa sababu nyuma mwiko waki set agenda,mashabiki wetu bila kujua athari ya maneno yao,wanaingia kwenye mfumo na kusababisha timu kuchafuliwa sana.Mfano shabiki anasema tutatumia hata waamuzi kushinda mechi,yeye anafikiri anatania kumbe wenzake wanaichukua kama propaganda na itaiathiri timu tu.
Mfano mechi ya derby simba alinyimwa penalty tatu za wazi.Kisa ni kwa sababu kwenye ligi yetu hutakiwi kushinda kwa penalty.Hizi ni propaganda za nyuma mwiko na zimefanikiwa kuwaathiri hadi wachambuzi.
Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app