Zero IQ
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 13,959
- 24,935
Huwa naifikilia sana hiyo Avator yangu ya zero Iq,hilo jina limenifanya nijiwazie mengi sana kwa nini nimejiita hivyo.
Eti ni Zero Iq na kwa nini ni zero Iq na sio ata Gu dume na kwa nini niitwe Gu dume na siyo the bold.
Nimekaaa najicheka na liavator langu sijui niliwaza nini ?
Lakini siyo Avator yangu tu pekee kuna nyingi za kuchekesha humu zinanifanya nicheke zaidi ya kuicheka Avotor yangu.
Eti kuna Miss Natafuta sijui aliwaza nini kujiita hilo jina mawazo yangu kwake yanawaza labda ni kati ya wale kwao waliandika kuna mbwa mkali ila baada ya kuvuka Age ya 30 wakaandika Tunauza ice cream na ata baada ya hapo hakuna aliyojitokeza ndio akaamua kujiita Miss Natafuta.
Kuna mengi kwenye Avotor za watu humu Jf tena nyingi ni za kuchekesha lakini zimebeba maana nyingi sana..!
Mr Zero Iq Him self liavotor lililokaaa kimasihara lakini lina akili Ndani yake.
.........!