Kwa nini Nyerere hakutuunganisha na Rwanda??

Kwa nini Nyerere hakutuunganisha na Rwanda??

Mfyatuaji

Senior Member
Joined
Sep 6, 2016
Posts
101
Reaction score
84
ab247d4b4384ae7dfdb96ebdea50f056.jpg
. .........
 
Ni kwa sababu aliujua vizuri udhaifu wa wanaume wa Kitanganyika. Angetuunganisha na Rwanda, hao manzi wote unaowaona kwenye hiyo picha wangekuwa wanatumia ARV kwa sasa!.
 
Hiyo ni harusi ya mtoto wa Kagame? ... bwana harusi kafanana na Bw. Kagame mnoo
 
Mbona Ngara, Nyakaula, Nyakanazi, Kania, Runzewe, Ushirombo, Kahama napia Chato, Bwanga, Buselesele mpaka Geita wapo wengi hao!
Naomba niunganisha na moja aliyepo maeneo hayo
 
Ila badi hatujachelewa, tumshawishi presda aongee na Kagame kuhusu muungano. Na nchi iitwe Rwatanzania
 
ab247d4b4384ae7dfdb96ebdea50f056.jpg
. .........


TANGANYIKA NA ZANZIBAR HAKUNA MUUNGANO , HUO NI UVAMIZI. NYERERE ALIIVAMIA ZANZIBAR JANUARI 12 1964. AKAMWEKA JELA HUKU TANGANYIKA ,WAZIRI MKUU WA ZANZIBAR, MUHAMMED SHAMTE NA BARAZA LAKE LA MAWAZIRI KABLA YA HUO UNAOITWA MUUNGANO WA APRIL 26 1964.

HAYA YOTE YALIPEWA BARAKA NA MKOLONI ,MUINGEREZA

Kama una nafasi ya kukisoma kwenye mtandao, tafadhali bonyeza hapa.

HIVI MWENYE AKILI HAJAJUA KUWA HAPO NI UVAMIZI ?????

RWANDA ILIMSHINDA KWANI KULE KULIKUWA NA MKOLONI MWENGINE, NA SI MUINGEREZA
 
Back
Top Bottom