fabinyo
JF-Expert Member
- Aug 5, 2011
- 3,042
- 2,221
kipindi hiko sikuwepo,wala sina maelezo ya kutosha ya kihistoria kwa nini siku ile ya muungano,mwalimu hayati nyerere alichanganya udongo wa tanganyika na zanzibari peke yake?hayati karume alikuwa wapi na kwanini hawakushirikiana katika uchanganyaji?naomba mnisaidie,kweli sifahamu chochoti juu ya hilo..