Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni Sayansi ya kibongobongo tokea usukumaniHizo ni chaji za umeme wa mwil.......... Binadamu hai anachaji na ndio kuna baadh ya nguo zilizotengeneza na nyulon za viwandan ukivaa wakat wa kuvua ukivua kwa spid utaona zinatoa mwanga.............Wale wanaougua kifafa kuna wakat mawimb ya umeme wa mwil yanakata na ndio maana huwa wananguka